Naomba msaada wa kujua taratibu za kufungua real estate company kwani nina eneo la hekari 15 Kigamboni (Dsm) la urithi karibu na fun city, sasa sijui taratibu za kufuata ili kufungua kampuni japo ndogo ya real estate.
By the way my professional is banking and finance management (Ifm) but I don't know how to follow the procedures in order to open real estate company,
je napaswa niende wilayani, Wizara ya ardhi au brela msaada tafadhari...!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha kubabaika na neno real estate = biashara ya majengo na ardhi.
...Je unataka kufanya nini? Kuwa dalali (agent) wa kuuza viwanja/nyumba? Kujenga nyumba na kuuza? Kupangisha nyumba? Angalia unachotaka kufanya...sajili kampuni brela kisha tekeleza...angalizo kusajili ni muhimu lakini sio muhimu sana kama huna mtaji au hujui unataka kufanya nini?
The million dollar question is, "What do you intend to do with your chunk of land?"
Do you want to plots of it, or build and sell/rent houses on it?
Do you want to be a developer, property and facility manager, or a mere broker?
Real estate company is just like anyother, unasajili brela, unafanya tax clearance na kupata leseni ya biashara manispaa husika, as far as I am aware..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii biashara unaweza lia Kama unafungua ofisi eti ufanye udalali tu, labda ufanye na ujenzi uombe tender usimamie ujenzi lakini domain name ya tender iwe wewe uajiri wajenzi uwalipe hapo at least...Wacha kubabaika na neno real estate = biashara ya majengo na ardhi.
...Je unataka kufanya nini? Kuwa dalali (agent) wa kuuza viwanja/nyumba? Kujenga nyumba na kuuza? Kupangisha nyumba? Angalia unachotaka kufanya...sajili kampuni brela kisha tekeleza...angalizo kusajili ni muhimu lakini sio muhimu sana kama huna mtaji au hujui unataka kufanya nini?
Huyu Hamidu ana eneo karibu na kwangu tumepishana mpaka lakini sijawahi muona kwa sura hata zaidi ya wasimamizi wakeFika pale mikwambe tembelea pale hamidu city park (ipo si mbali na stendi) tafuta connection na mmiliki wa hapo nadhani utafanikiwa kiurahisi maana anachofanya jamaa ndio ulichopanga na kutoka fan city hadi mikwambe sio mbali