suck-kweyamba
Member
- Feb 16, 2020
- 28
- 6
- Namba ya kitamburisho cha Taifa.Kwa upande wa TIN number ni nyaraka gani
pia uelewe endapo huta declare kuwa hukuanzisha hiyo biashara, ngoma utaipata kwenye ku renew licence yako ya udereva. Sintasahau nilipotaka kuzimia nilipoletewa mrejesho wa kodi wa mamilioni nilokuwa nadaiwa ati ninafanya biashara
- Namba ya kitamburisho cha Taifa.
Rejea
Leseni ya nini?
Biashara au isiyo ya biashara?
Ya binafsi au ya kampuni?
To start with.
Sent using Jamii Forums mobile app