Naomba kufahamu vyeo vya TANAPA

Over the hedge

Senior Member
Joined
Sep 6, 2019
Posts
143
Reaction score
162
Siku ambayo hawa maafisa wanavyishwa hivi vyeo walisema ni vyeo vya kijeshi.

Je, Mkuu wa Jeshi la TANAPA ni nani ?
Je, vyeo vyao vinafanana na JW au vina utofauti?

πŸš”
 
Mkuu wa majeshi ya TANAPA ni Kigwangala....."wewe unataka cheo hutaki haya piga pushapu 20, wewe unaleta masihara? Ruka kichuraa chura mpaka kule"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.Kamishna wa Uhifadhi equivalent Mkurugenzi Mkuu
2.Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi- equivalent na Mkurugenzi/ Meneja wa Idara
3. Afisa Uhifadhi Daraja fulani, etc etc
.......
 
Vipi mishahara yao???? Nasikia hawa jamaa wanaweza wasiulize hata mishahara imetoka lini. Wana run maisha kwa posho na bahasha.....
Waalimu wakisikiaga hizi habari roho zinawauma kinomaaaa
 
1.Kamishna wa Uhifadhi equivalent Mkurugenzi Mkuu
2.Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi- equivalent na Mkurugenzi/ Meneja wa Idara
3. Afisa Uhifadhi Daraja fulani, etc etc
.......
Okay shukrani
 
Vipi mishahara yao???? Nasikia hawa jamaa wanaweza wasiulize hata mishahara imetoka lini. Wana run maisha kwa posho na bahasha.....
Waalimu wakisikiaga hizi habari roho zinawauma kinomaaaa

Huwa nasikia mishahara yao huwa iko juu kidogo kuliko ile ya serikali
Mfano kama mmesoma wawili wote degree moja lakin mkapata kazi sehem tofauti, lets say labda wa kwanza amepata tanapa na mwingine akapata halmashauri.
Huyu wa tanapa atakuwa analipwa hela nyingi kdg ukifananisha na yule wa halmashauri
πŸ™πŸΎ
 
Vyeo vya kiaskari wana Koplo,Sajent kwa vyeo ninavyovijua vingine sivijui
 
Ni kwamba scale za mashirika ya umma kama TRA, TANAPA, TANESCO, DUWASA DAWASCO, VETA, UDSM, UDOM ,MWEKA, TMDA, MSD, MOI, MNH, na POSTA na mashirika mengine kama hayo scale zao za mishahara zipo juu. Unaweza kuta regional manager wa haya mashirika anakwenda sahani moja na naibu waziri wa wizara. Jiulize je wakurugenzi wa hayo mashirika ni vipi.

Hapo unakuta mwenye elimu sawa na mtu wa hayo mashirika lets say ni yupo hamashauri fulani ni msoto.
Imagine mtu mwenye kiwango cha elimu sawa na ww. Yy PAYE yake hata gross salary yako haiingii.

Unaweza sema bora ufe....
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hamna Jeshi hapo ni maraia menzetu yameunda kundi la kulinda wanyama

Niga from Timbuktu
 
Mkurugenzi TANAPA ni 11M,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…