naomba kufahamu wasanii hawa wanakopatikana...!

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
habari wadau...!!

naombeni msaada wenu wa hali na mali.

naomba kujuzwa jinsi ya kuonana na wasanii hawa, jacob steven (JB) pamoja na vicent kigosi (Ray)

wadau nina shida nao ya msingi sana, mjini hapa sina direction yoyote ya jinsi ya kuwaona physically.

tafadhalini mwenye namba zao za simu anisaidie kwa pm!

wenu... Life Goes On..
 
Last edited by a moderator:

  • Fika sinza mori kwenye ofisi zake
d7jt.png

Chanzo
 
Back
Top Bottom