Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Wadau nimeona nilete hii hoja hapa ilinipate ufahamu zaidi katiba au sheria zetu zinavyolinda haki za wagonjwa kwenye hospitali zetu. Wagonjwa wengi wanafariki na wengine wanapata huduma mbovu wanapokuwa kwenye hizi hospitali zetu. Je sheria inatambua haki za wagonjwa? Na inawapa nguvu wagonjwa kuwashtaki madaktari na hospitali? Na imani hii itasaidia kuongeza ufanisi hospitalini kwetu na watoa huduma kuheshimu taaluma zao.