Naomba kufahamu zaidi katiba au sheria zetu zinavyolinda haki za wagonjwa kwenye hospitali zetu

Walnut Creek

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2009
Posts
5,830
Reaction score
6,315
Wadau nimeona nilete hii hoja hapa ilinipate ufahamu zaidi katiba au sheria zetu zinavyolinda haki za wagonjwa kwenye hospitali zetu. Wagonjwa wengi wanafariki na wengine wanapata huduma mbovu wanapokuwa kwenye hizi hospitali zetu. Je sheria inatambua haki za wagonjwa? Na inawapa nguvu wagonjwa kuwashtaki madaktari na hospitali? Na imani hii itasaidia kuongeza ufanisi hospitalini kwetu na watoa huduma kuheshimu taaluma zao.
 
Ukipata panadol tu unashukuru Mungu, haki ya mgonjwa unaiuliza wakati nurse hajui atalipaje kodi na asubuhi alimtoroka mwenye nyumba
 
Tatizo siyo Nurse wala doctor ila tatizo lako hilo liko kweny Government hospital lakn huku private hospital mambo nimazuri....sana ....unaweza mmpeleka mgonjwa kweny hospital ya serikal bila kumshughulikia wewe mwenyewe kwa kujiongeza basi ujue ndo basi tena maana atopata Huduma yeyote ya Maana Zaidi ya Panadol na vidonge viwil vya kukojoa..

Nadhani Sheria inabid imbane wazir wa afya.
 
Ni wangapi wanauwezo wa kwenda private hospitals
 
Hata private pia. Kuna issue za kuover charge, kulaza watu bila sababu ya msingi, kukimbilia kufanyia watu operation bila ulazima wowote kuna madudu mengi tu na yote haya ni kunyonya watu pesa zao kwa lazima.
 
Kwa upande wa shiria hii nchi ni ya hovyo sana ikiwa kiongozi mkuu anavunja sheria hadhalani je uazani ata hao watumishi wa umma wa watatii iyo sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…