NAOMBA KUFAHAMU

NAOMBA KUFAHAMU

Intended

Member
Joined
Sep 24, 2018
Posts
64
Reaction score
89
Ndugu wanajukwaa habari,naomba kufahamu kidogo kuhusu hukumu kama hii:mtuhumiwa anapohukumiwa mfano miaka mitatu jela au kulipa faini mfano milioni mbili kwa kosa lolote ikatokea akawa hana iyo faini hivyo akapelekwa jela baada ya muda Fulani labda miezi miwili hivi hiyo pesa ikapatikana je anaweza kutolewa jela au kwakuwa ameshakwenda jela ataendelea kutumikia kifungo nahitaji tu kufaham
 
Ikipatikana anatoka. Kalipe mahakamani kisha utapewa remove order.
 
Back
Top Bottom