Ndugu wanajukwaa habari,naomba kufahamu kidogo kuhusu hukumu kama hii:mtuhumiwa anapohukumiwa mfano miaka mitatu jela au kulipa faini mfano milioni mbili kwa kosa lolote ikatokea akawa hana iyo faini hivyo akapelekwa jela baada ya muda Fulani labda miezi miwili hivi hiyo pesa ikapatikana je anaweza kutolewa jela au kwakuwa ameshakwenda jela ataendelea kutumikia kifungo nahitaji tu kufaham