naomba kufahamu....

Smarty

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
776
Reaction score
428
ni bank ipi kati ya CRDB na NMB wanatoa mikopo kwa wafanyakazi kwa riba nafuu. Kwa mwenye uzoefu na maswala haya naomba anifahamishe pia kama kuna sehemu nyingine tofauti ambazo naweza kukopa kuanzia milioni 7 kwa masharti nafuu. Natanguliza shukurani zangu za dhati....
 
Nmb wana riba nafuu kuliko bank zote.sema tu kuna kuchelewa kwa kiaina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…