kitoto wa vitoto
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 375
- 410
Nawasalimu ndugu wakubwa na wadogo pia
Naomba mnifahamishe kuhusu mashamba ambayo hayajapimwa.
Je kuna athari gani ya kununua shamba ambalo halijapimwa na serikali?
Mfano
Umenunua shamba huko ndani ndani Morogoro na halijapimwa
Je siku ya siku serekali ikapima maeneo hayo na kubaini matumizi sahihi ya maeneo hayo la kwako likiwa mojawapo
Je watalichukuwa bure? Au litabaki kwangu kwa masharti au watanipa hela nihame?
Naomba kuwasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app