Mafuta halisi ya massage yanaitwa massage lotion na yanauzwa pharmacy lakini pia Olive oil hutumika na kwa soft massage hutumika powder.Mteja huulizwa ungependa kutumia lotion,oil au powder na mhudumu kabla ya massage kuanza.yanaitwa olive oil
siyo ya sex,ni massage tu
Mafuta halisi ya massage yanaitwa massage lotion na yanauzwa pharmacy lakini pia Olive oil hutumika na kwa soft massage hutumika powder.Mteja huulizwa ungependa kutumia lotion,oil au powder na mhudumu kabla ya massage kuanza.
Swali lako la pili sikulielewa,mafuta ya sex kufanya mwili unone ??
Hahaha! mkurugenzi bana haya, massage lotion ni mazito haishauriwi kutumika katika sex hata olive oil sidhani yanafa inabidi apate water based lubricants kama KY jelly ambayo haibadili mazingira ya kule kwa mwanamke.ningeshangaa uporoto usingeongea kitu humu
wakati massage parlour zote unazijua lol
sikuuliza kitu.ila huyo muuliza swali
alitaka kufahamu,je mafuta ya massage ndo yanatumika kwa sex?