sasa tunatumia herufi ya kirumi(latin alphabet, kama vile a,b,ch,d) lakini kabla ya miaka 100, herufi ya kiarabu ا ب ت ilitumika kuandika kiswahili.
Ndiyo, mwandishi wa utenzi wenyewe anatoka Lamu. Huyu bwana anachukia sana herufi ya kirumi, yeye hutumia herufi ya kiarabu maishani mwake.Hiyo ni Tenzi (poem) ya kiswahili cha kale (kutoka Lamu ??) katika maandishi ya kiarabu.
Nimeweza kusoma sehemu ya maneno haya:- "nini wanasibasa mafundi wa kila fani".
ndiyo, mwandishi wa utenzi wenyewe anatoka Lamu. huyu bwana anachukia sana herufi ya kirumi, yeye hutumia herufi ya kiarabu maishani mwake.
ndiyo. nasikia kuwa baadhi ya wazanzibari wanaelewa kiswahili kama hicho, hata nembo ya Chuo Kikuu cha Zanzibar ina herufi hizo. Je, huku kuna mzee mzanzibari anayeweza kunisaidia?
View attachment 1681760
Kwa kusudi la kusoma vitabu vya kale. Kabla ya kuja kwa wazungu, maandishi yote ya kiswahili yapo kwenye herufi ya kiarabu. Ningalifanya utafiti wa lugha na utamadini wa Kiswahili ningaliweza kuvisoma vitabu vya kale vilivyoandikwa namna hivyo.Naomba nikuulize swali, unahitaji kujua hayo maandishi kwa matumizi gani?
Maana kwa uelewa wangu, kati ya watu 5000 wanaojua Kiswahili unaweza kupata 1 au usipate kabisa anaye yaelewa hayo maandishi.
Sasa yatakuwa na faida gani kama utayajua na ukose watu wa kuwasiliana nao kwa kutumia maandishi hayo?
ndiyo, mwandishi wa utenzi wenyewe anatoka Lamu. huyu bwana anachukia sana herufi ya kirumi, yeye hutumia herufi ya kiarabu maishani mwake.
Ni kweli. Hapa kuna historia nzuri sana ya KiswahiliKweli elimu haina mwisho, hili swala sijawahi kulisikia la herufi za kiarabu kuandika kiswahili.
Anyway, labda upate wana historia wa lugha ya kiswahili, lakini naona utapata ugumu kwa unachokitafuta.
kwa kusudi la kusoma vitabu vya kale. Kabla ya kuja kwa wazungu, maandishi yote ya kiswahili yapo kwenye herufi ya kiarabu. ningalifanya utafiti wa lugha na utamadini wa Kiswahili ningaliweza kuvisoma vitabu vya kale vilivyoandikwa namna hivyo.
Asante sana bwanaHapo nimekuelewa vizuri, ninatumaini utafanikiwa kumpata mwenye uelewa wa hayo mambo.
kwa kusudi la kusoma vitabu vya kale. Kabla ya kuja kwa wazungu, maandishi yote ya kiswahili yapo kwenye herufi ya kiarabu. ningalifanya utafiti wa lugha na utamadini wa Kiswahili ningaliweza kuvisoma vitabu vya kale vilivyoandikwa namna hivyo.
Kweli bwana, ufundishaji wa Kiarabu nchini China umepata maendeleo makubwa sana. Nitamtafuta mwalimu atakayenifundisha herufi hizo ili nipate ujuzi zaidi. Shukrani sanaNdugu Bakari ili uweze kusoma hiyo lugha ni lazima kwanza ujifunze kusoma kiarabu na uanze mwanzo kabisa:- ا ب ت ث ح خ----
Kwakuwa ninaona wewe ni mwepesi sana kuelewa nadhani ukipata mwalimu mzuri unaweza kujua kusoma Maandishi ya kiarabu ndani ya miezi 6 tu.
View attachment 1681618
hayo ni maandishi ya kiswahili ya kale, iliyoandikwa na herufi ya kiarabu, sivyo?
Tulipangia kupelekewa UDSM kusoma kozi za advanced Kiswahili lakini mpango huo ulikabiliwa na matitizo ya corona.njoo hapa TUKI au BAKITA tuko wataalamu tulio bobea, njoo chuo kikuu cha DSM tupo wataalamu, maprofesa wabobezi wa lugha ya kiswahili, utasaidiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
我是坦桑尼亚人,我还在郑州大学留学,河南省。如果你需要学会咋们当地人的语言咋们俩可以联系。Kama tujuavyo, Kiswahili husifiwa kama lugha ya rasmi ya Tanzania. Lakini kabla ya kusanifishwa, Kiswahili kilikuwa kimeandikwa kwenye herufi ya Kiarabu kwa muda mrefu sana. Naomba kuwauliza ninyi wapendwa wenzangu wa JF, nani mtaalamu wa lugha anaweza kunifundisha Kiswahili kilichoandikwa kwenye maandishi ya Kiarabu?
Nahitaji kukisoma kitabu chenye umri zaidi ya miaka 100, lakini nimeshindwa kuelewa kinachosema. Hebu mtaalamu yupi anisaidie! Shukran
Hicho Kiswahili hakikuwa na kibantu?sasa tunatumia herufi ya kirumi(latin alphabet, kama vile a,b,ch,d) lakini kabla ya miaka 100, herufi ya kiarabu ا ب ت ilitumika kuandika kiswahili.
Kiswahili ni lugha ya kibantu lakini mnamo muda mrefu uliopita kabla ya wazungu kuja, Kiswahili kiliandikwa kwenye herufi ya kiarabu. leo tunatumia a,b,ch,d, lakini kabla ya miaka 100 watu walitumia ا ب ت ث ح خ kama ishara ya matamshi ya Kiswahili.Hicho kiswahili hakikuwa na kibantu?
Katika sehemu za pwani hassan Unguja na Lamu, hata leo baadhi ya watu hutumia alama hizo za kiarabu kuandika Kiswahili.Hicho kiswahili hakikuwa na kibantu?
Mimi nilishawahi kusikia hili suala.Kiswahili ni lugha ya kibantu. lakini mnamo muda mrefu uliopita kabla ya wazungu kuja, Kiswahili kiliandikwa kwenye herufi ya kiarabu. leo tunatumia a,b,ch,d, lakini kabla ya miaka 100 watu walitumia ا ب ت ث ح خ kama ishara ya matamshi ya kiswahili.