Wakuu nawasalimu.
Mimi ni mchaga niliyezaliwa na kukulia nje ya mkoa wa Kilimanjaro ambapo sikuwa na fursa ya kujifunza lugha ya kichaga.
Nimejaribu kuangalia resources mbalimbali kwenye mtandao sijapata ya kuniwezesha kujifunza kichaga.
Kama kuna yeyote anayeweza kutupia hapa somo for the beginner natanguliza shukrani za dhati.