Naomba kufundishwa namna ya kupika makange ya kuku

Naomba kufundishwa namna ya kupika makange ya kuku

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Posts
4,051
Reaction score
12,954
Wale wataalam wa kupika naomba mnupe shule ya kupika makange ya kuku wa kienyeji.

Leo natamani nijipikie msosi mtam mwenyewe nyumbani, natamani iwe makange au kitu kingine kizuri.

Naombeni namna ya kuanza kupika.

Ahsanteni.
 
Makange ni mjenzi wa huko italy,alikua na mpishi wake aliyekuwa akimchanganyia viungo flani hivi kwenye nyama ya kuku,makange alipenda sana ule mchanganyiko na kama zawadi kwa bos wake yule mpishi aliamua kulibatiza lilepishi kwa jina la boss wake..
Kibongo bongo makange upikwa kwa mtindo wa rost ya kuku mchanganyiko utahitaji vitunguu vingi kidogo na royco nyingi kidogo,kisha uchanganywa na soya souce ili kuleta ladha.
 
Back
Top Bottom