Makange ni mjenzi wa huko italy,alikua na mpishi wake aliyekuwa akimchanganyia viungo flani hivi kwenye nyama ya kuku,makange alipenda sana ule mchanganyiko na kama zawadi kwa bos wake yule mpishi aliamua kulibatiza lilepishi kwa jina la boss wake..
Kibongo bongo makange upikwa kwa mtindo wa rost ya kuku mchanganyiko utahitaji vitunguu vingi kidogo na royco nyingi kidogo,kisha uchanganywa na soya souce ili kuleta ladha.