Naomba kuitambulisha Avatar yangu mpya ya mwaka 2025

Naomba kuitambulisha Avatar yangu mpya ya mwaka 2025

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Mabibi na mabwana napenda kuitambulisha kwenu Avatar yangu mpya ambayo nitaitumia kwa mwaka 2025 nakuendelea.

Haki zote zimehifadhiwa hairuhusiwi kutumia Avatar hii mahali popote pale bila idhini yangu.

Screenshot_20241228-130737.png
 
Tafsiri ya avatar yako
Kichwa kikubwa che kipara maana yake utakosa akili na bila shaka utaandika mashudu jukwaani

Na utakosa hela na kukosa lishe kama huyo jamaa

Hiyo avatar ina tafsiri mbaya kiroho badilisha tena
 
Sijui na Mimi nirudishe avatar yangu ya lininiliu jeusi!?
 
Tafsiri ya avatar yako
Kichwa kikubwa che kipara maana yake utakosa akili na bila shaka utaandika mashudu jukwaani

Na utakosa hela na kukosa lishe kama huyo jamaa

Hiyo avatar ina tafsiri mbaya kiroho badilisha tena
Umewahi kuwaona alliens?
 
Back
Top Bottom