Gee_Investment
New Member
- Feb 19, 2024
- 2
- 6
Habari wadau.
Naomba kujifunza kwa mtu aliendelea katika masuala ya cryptocurence. Mimi ni mfanyabiashara wa p2p binance. Mtaji wangu nj mdogo bado, ni laki tano pekee.
Changamoto niliyokutana nayo ni kukosa mahali pa kununulia crypto kwa bei cheap ili nikiingia kuziuza at least nipate faida kidogo. Mwanzo nilinunua usdt za laki tano nikapiga mahesabu baada ya kuziuza nikajikuta nimepoteza muda tu kwani hakuna nilichokiambulia.
Nikagundua wafanyabiashara kule wananmachimbo yao. Kwa sababu naamini katika JF nikasema nikija huku wataalam wapo watanipa msaada. Naomben kwa mwenye kujua anipe msaada tafadhal