Naomba kujifunza taratibu za uzabuni

Naomba kujifunza taratibu za uzabuni

Mudie

Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
6
Reaction score
4
Habari..! Naomba kujifunza taratibu za uzabuni.

Kwa mujibu sheria za manuzuzi katika miradi ya serikali mfano vifaa vya ujenzi kutoka kwa wazabuni kwa mfumo wa force account.

Malipo ya nauli ya usafitishaji vifaa yanajumuisha kwa mzabuni kwenye quotation yake? Au analipwaje gharama za usafiri wa mzigo kuleta site? Asante.
 
Fedha utakayo jaza kwenye quotation itakuwa total ya fedha utayolipwa nayo itajumuisha bei ya material, usafiri, faida ya mzabuni, na service levy.Hivyo yakupasa kuquote kwa umakini sana.
 
Back
Top Bottom