naomba kujijulisha kwenu wachangiaji katika forum

naomba kujijulisha kwenu wachangiaji katika forum

cool guy

Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
19
Reaction score
0
waheshimiwa mpo napiga hodi -just want to introduce myself to the forum members
 
Karibu jamvini, huna haja ya kujitambulisha, tutakutambua kwa matendo yako.
 
poa , natumaini vitendo vitakuwa vizuri na taweza kuchangia katika topic mbalimbali kwani kabla ya jujoin nimekuwa nikitembelea baadhi ya interesting topics.
 
Back
Top Bottom