Naomba kujiunga ktk jamvi hili

JAKOBO

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
934
Reaction score
194
Nawasalimia wadau wote wa JF.Mimi nimdau mpya wa jamvi hili nikiwa Kigoma huku tulipovamiwa na majangiri na mafisadi.Naomba ushirikiano wenu ktk kufanikisha kupeana habari zenye tija kwa taifa hili la watanzania tuliokata tamaa!.Naomba kuwasilisha
 
Aawali ya yote karibu sana JF

Pili hakuna kosa kubwa hapa DUNIANI kama kukata tamaa. Kwanini ukate tamaa??!! TAFAKARI, CHUKU HATUA
 
karibu sana JAKOBO ila usisahau kututemea nyepese nyepesi za plans za Kagame kuimega Kigoma iende nchi ya Rwanda!
 
karibu, hili ni jukwaa la manufaa
 
Mbona ulishakaribishwa zamani waeleze na wenzako wajiunge wapate maujanja maisha.
Hapa huwa zinaibuliwa hoja na tena tunaendeleza pale wengine walipoishia. Yaani upande wa pili wa habari kwaundani zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…