Naomba kujua ada ya kusjili NGO na kama kuna malipo mengine

ISLETS

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
8,120
Reaction score
5,352
Nadhani niko jukwaa husika, wakuu salamu kwenu.
Naomba kufahamishwa ada ya kusajili shirika la hisani lisilo la kiserikali (NGO) kwa ngazi ya wilaya, mkoa, na taifa.

Pia naomba kujua huyo ada kama ni kulipia mara moja tu, au ni malipo yanayojirudia labda kila mwaka.

Asanteni.
 
Wanasheria niliambiwa haya mambo nyinyi ndio mnajua, sasa mbona kimya.
Bado nasubiri msaada wenu au kwa yeyote anayejua
 
Wanakuja, update uzi wako mara kwa mara by the morning watakuwa wamefika.
 
Nadhani niko jukwaa husika, wakuu salamu kwenu.
Naomba kufahamishwa ada ya kusajili shirika la hisani lisilo la kiserikali (NGO) kwa ngazi ya wilaya, mkoa, na taifa.

Pia naomba kujua huyo ada kama ni kulipia mara moja tu, au ni malipo yanayojirudia labda kila mwaka.

Asanteni.
Wanasheria niliambiwa haya mambo nyinyi ndio mnajua, sasa mbona kimya.
Bado nasubiri msaada wenu au kwa yeyote anayejua
Inategemea inataka kujishughulisha na nini, malengo yake, wamiliki, msimano wa kisiasa nk nk
 
haaa mimi nikajua ada ziko fixed mkuu.

Kwa mfano hii,
Lengo: kusaidia watoto yatima kwa kuwapelekea misaada katika vituo ikiwezekana na kujenga kituo kipya.

Wamiliki: Raia wa kawaida wa tanzania, ni marafiki tu kama 6 tumepata hilo wazo, na kila mmoja anajishughulisha na mambo yake.

Msimamo kisiasa: Hatujihusishi kabisa na siasa. Tutashirikiana na kila mtu bila kujali itikadi za kisiasa. Na kwa kuwa tunashughulika na watoto mambo ya siasa hayawahusu sana.
 
Nenda halmashauri ya mji uliopo utapata utaratibu mzima.... Siku hizi registration ya hizo imekuwa ngumu kidogo kutokana na wapigaji wengi kuzitumia kama chocho
 
asante, nitalifanyia kazi
 
Nadhani niko jukwaa husika, wakuu salamu kwenu.
Naomba kufahamishwa ada ya kusajili shirika la hisani lisilo la kiserikali (NGO) kwa ngazi ya wilaya, mkoa, na taifa.

Pia naomba kujua huyo ada kama ni kulipia mara moja tu, au ni malipo yanayojirudia labda kila mwaka.

Asanteni.
Nadhani niko jukwaa husika, wakuu salamu kwenu.
Naomba kufahamishwa ada ya kusajili shirika la hisani lisilo la kiserikali (NGO) kwa ngazi ya wilaya, mkoa, na taifa.

Pia naomba kujua huyo ada kama ni kulipia mara moja tu, au ni malipo yanayojirudia labda kila mwaka.

Asanteni.
Nimekuwekea Attachment hapo jaribu kuipitia
 
Back
Top Bottom