Wanakuja, update uzi wako mara kwa mara by the morning watakuwa wamefika.Wanasheria niliambiwa haya mambo nyinyi ndio mnajua, sasa mbona kimya.
Bado nasubiri msaada wenu au kwa yeyote anayejua
Nadhani niko jukwaa husika, wakuu salamu kwenu.
Naomba kufahamishwa ada ya kusajili shirika la hisani lisilo la kiserikali (NGO) kwa ngazi ya wilaya, mkoa, na taifa.
Pia naomba kujua huyo ada kama ni kulipia mara moja tu, au ni malipo yanayojirudia labda kila mwaka.
Asanteni.
Inategemea inataka kujishughulisha na nini, malengo yake, wamiliki, msimano wa kisiasa nk nkWanasheria niliambiwa haya mambo nyinyi ndio mnajua, sasa mbona kimya.
Bado nasubiri msaada wenu au kwa yeyote anayejua
haaa mimi nikajua ada ziko fixed mkuu.Inategemea inataka kujishughulisha na nini, malengo yake, wamiliki, msimano wa kisiasa nk nk
Nenda halmashauri ya mji uliopo utapata utaratibu mzima.... Siku hizi registration ya hizo imekuwa ngumu kidogo kutokana na wapigaji wengi kuzitumia kama chochohaaa mimi nikajua ada ziko fixed mkuu.
Kwa mfano hii,
Lengo: kusaidia watoto yatima kwa kuwapelekea misaada katika vituo ikiwezekana na kujenga kituo kipya.
Wamiliki: Raia wa kawaida wa tanzania, ni marafiki tu kama 6 tumepata hilo wazo, na kila mmoja anajishughulisha na mambo yake.
Msimamo kisiasa: Hatujihusishi kabisa na siasa. Tutashirikiana na kila mtu bila kujali itikadi za kisiasa. Na kwa kuwa tunashughulika na watoto mambo ya siasa hayawahusu sana.
Nadhani niko jukwaa husika, wakuu salamu kwenu.
Naomba kufahamishwa ada ya kusajili shirika la hisani lisilo la kiserikali (NGO) kwa ngazi ya wilaya, mkoa, na taifa.
Pia naomba kujua huyo ada kama ni kulipia mara moja tu, au ni malipo yanayojirudia labda kila mwaka.
Asanteni.
Nimekuwekea Attachment hapo jaribu kuipitiaNadhani niko jukwaa husika, wakuu salamu kwenu.
Naomba kufahamishwa ada ya kusajili shirika la hisani lisilo la kiserikali (NGO) kwa ngazi ya wilaya, mkoa, na taifa.
Pia naomba kujua huyo ada kama ni kulipia mara moja tu, au ni malipo yanayojirudia labda kila mwaka.
Asanteni.
Asante mkuu, niliishapata msaada, na saizi mambo si mabayahabari je bado unahitaji msaada juu ya mambo yanayohusiana na NGO's karibuy tembelea hapa www.techniwise.blogspot.com