Hudumapoa.blogspot
Member
- Apr 3, 2013
- 73
- 11
Habarini wadau wa elimu, Naomba kujua ada pamoja na gharama nyingine zinazotakiwa kulipwa kwa mwaka kwa ajili ya kusomea diploma ya ualimu katika vyuo vya serikali. Natanguliza shukrani kwa mchanganuo mzuri wa gharama zote kwa miaka miwili ya diploma.