Naomba kujua ada ya kusomea diploma ya ualimu kwa mwaka

Joined
Apr 3, 2013
Posts
73
Reaction score
11
Habarini wadau wa elimu, Naomba kujua ada pamoja na gharama nyingine zinazotakiwa kulipwa kwa mwaka kwa ajili ya kusomea diploma ya ualimu katika vyuo vya serikali. Natanguliza shukrani kwa mchanganuo mzuri wa gharama zote kwa miaka miwili ya diploma.
 
Ada ni shilingi laki mbili kwa mwaka hiyo ni ada pamoja na chakula na malazi lakini kuna michango mingine utaikuta chuoni na itategemeana na chuo ulicho pangiwa na michango yake maana inatofautiana pia na ziada kwaajili ya matumizi yako binafsi.
 
hili ni jibu zuri xan......ila kwa michango haizidi laki moja na nusu kwa mwaka, exprienced kwa mpwapwa tc
 
Ada Tsh 200,000 kwa Mwaka
Michango 98,000 kwa Mwaka

Kula bureeee wali maharage,nyama jtano,chai tupu
Kulala bureee

MPWAPWA TC KWA LUGALEMA
 
Ada imepanda kuanzia mwaka mpya wa masomo unaoanza julay ni 300,000/= kwa ngaz ya chet na diploma kwa vyuo vya serikal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…