Naomba kujua ada ya Makongo Sekondari

Naomba kujua ada ya Makongo Sekondari

Isaack Newton

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
594
Reaction score
291
Habari wakuu,.!
Naomba kujua ada ya shule ya makongo kwa kidato cha sita mchepuo wa art. Mwenye kufahamu naomba anijuze ada ya bweni na shule maana najaribu kuangalia kwenye website yao naona sielewi.
 
Back
Top Bottom