Naomba kujua aina ya oil ambayo mtengenezaji wa Toyota Succeed ameipendekeza

Makobus

Senior Member
Joined
Jul 30, 2012
Posts
169
Reaction score
110
Jamani hi,

Naomba kujua aina ya oil ambayo mtengenezaji wa Toyota Succeed ameipendekeza itumike kwenye engine. Manual ni kijapan kitupu. Hainisaidii.

Nawasilisha.
 
weke chasis number tukichekie kwenye catalog
Chasis number ni NCP59-0003329. Sakanya yafuatayo boss wangu:-

-Recommended engine oil.
-Recommended transmission fluid.
-Recommended Steering fluid.
-Recommended differential oil.
-Recommended coolant.

Kwa leo nisaidie kwa haya mkuu.
 
Jamani hi,

Naomba kujua aina ya oil ambayo mtengenezaji wa Toyota Succeed ameipendekeza itumike kwenye engine. Manual ni kijapan kitupu. Hainisaidii.

Nawasilisha.
We si uingie Google au mwenzetu umefuga ujinga kichwani
 
Eee, kama ulikuwepo. Nimefuga ujinga kichwani. Nitolee nielevuke kama wewe.
Unauliza vitu vidogo soma hiyo engine namba halafa search oil gani kwa hiyo engine
 
Unauliza vitu vidogo soma hiyo engine namba halafa search oil gani kwa hiyo engine
Hatulingani wala hatufanani ndugu yangu. Kwako vinaweza kuwa vitu vidogo lakini kwa mwingine hususani mimi ni vikubwa. Kwa hiyo tuvumilianeni tu, tueleweshane.
 
Hatulingani wala hatufanani ndugu yangu. Kwako vinaweza kuwa vitu vidogo lakini kwa mwingine hususani mimi ni vikubwa. Kwa hiyo tuvumilianeni tu, tueleweshane.
sasa ndio maana mnapigwa au kusign mkataba mibovu binadamu tena mwanamue lazima kujuongeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…