BRO SANTANA
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,845
- 2,248
Sorry vp kuhusu engine ya carina si 7A sifa yake ni ipi4s ni engine ngumu sana inapatikana kwenye gari kama mark 11 za kitambo ni nzuri sana saizi zipo kwenye Noah izi engine ni ngumu balaa mafuta zinakuls kidogo sana inaweza kula mpaka km 15 kwa lita kama haijaguswa na mafundi 3L ni engine nzuri pia zna tatizo la kuchemsha
Inakula mafuta kidogo sana mpaka km 18kwa litaSorry vp kuhusu engine ya carina si 7A sifa yake ni ipi
Engine ya mashine ipi hii...??
Mashine ya meli hioEngine ya mashine ipi hii...??
2L ina sifa zipi?4s ni engine ngumu sana inapatikana kwenye gari kama mark 11 za kitambo ni nzuri sana saizi zipo kwenye Noah izi engine ni ngumu balaa mafuta zinakuls kidogo sana inaweza kula mpaka km 15 kwa lita kama haijaguswa na mafundi 3L ni engine nzuri pia zna tatizo la kuchemsha
Mh hiyo 7A mkuu sina uhakika kama zinafika km 18 kwa lita labda kama umanisha aina ya ti nayo ni km 14 kwa lita so 7A ni kama km 10 kwa litaInakula mafuta kidogo sana mpaka km 18kwa lita
Hapana umeongea vitu viwili tofauti kidogo mark 2 za zamani zinatumia 1G kavu na 3S iko kwenye noah za zamani pamoja na rav 4 za zamani na ulaji wake wa mafuta hasa 1G inakula sbb ni 6 cylinders4s ni engine ngumu sana inapatikana kwenye gari kama mark 11 za kitambo ni nzuri sana saizi zipo kwenye Noah izi engine ni ngumu balaa mafuta zinakuls kidogo sana inaweza kula mpaka km 15 kwa lita kama haijaguswa na mafundi 3L ni engine nzuri pia zna tatizo la kuchemsha
Tosha sana hiyo, yaani hata 2km kwa lita toshaMh hiyo 7A mkuu sina uhakika kama zinafika km 18 kwa lita labda kama umanisha aina ya ti nayo ni km 14 kwa lita so 7A ni kama km 10 kwa lita
huwez sema mark 2 ya zamani ina 1G kavu ...mark au gari zingne zina injini nyingi ( option) mfano kwenye mark 2 ya 98 ina ijz gte sasa ww sijui unasema ipi !!Hapana umeongea vitu viwili tofauti kidogo mark 2 za zamani zinatumia 1G kavu na 3S iko kwenye noah za zamani pamoja na rav 4 za zamani na ulaji wake wa mafuta hasa 1G inakula sbb ni 6 cylinders
Mark 2 ya zamani nyingi zina 1G kavu hiyo 1jz inafungwa kwenye toyota aristohuwez sema mark 2 ya zamani ina 1G kavu ...mark au gari zingne zina injini nyingi ( option) mfano kwenye mark 2 ya 98 ina ijz gte sasa ww sijui unasema ipi !!