Nikiwa kama mdau mkubwa wa sekta ya habari, kwa kipindi kirefu nimekosa ladha ya kipekee ya mtangazaji mahiri na ripota mahiri TanzaniaBen Kiko. Kwa anayejua alipo anifahamishe tafadhali.
Mara ya mwisho alikua Kigoma kama miaka8 iliyopita.
Huyu jamaa namkumbuka hasa ninapokua nafatilia story ya vita ya kagera yeye akiwa reporter vitani mpaka ikapelekea kuondolewa vitani na kurudishwa mwanza.

Umenikumbusha mbali aisee, huyu jamaa alipaswa awe anamiliki radio yake sasa hivi na siyo kuajiriwa na Rage. Alikuwa ni ripota mzuri sana mwenye mbwembwe na sauti ya kupendeza.