Forgotten JF-Expert Member Joined Jul 20, 2018 Posts 3,518 Reaction score 10,839 Dec 24, 2023 #1 Habari wana-JF, naomba kujua bei elekezi kwa 4G router ya Vodacom inayoweza ku-connect devices 5. Nimeona vifurushi vyao bei iko juu kushinda Airtel ila wateja wengi wanalamikia mtandao wa Airtel. Je, ni ipi bora kuchukua kati ya Vodacom au Airtel?
Habari wana-JF, naomba kujua bei elekezi kwa 4G router ya Vodacom inayoweza ku-connect devices 5. Nimeona vifurushi vyao bei iko juu kushinda Airtel ila wateja wengi wanalamikia mtandao wa Airtel. Je, ni ipi bora kuchukua kati ya Vodacom au Airtel?