Naomba kujua bei halisi ya Pikipiki aina ya Boxer 150cc au TVS 150cc

Naomba kujua bei halisi ya Pikipiki aina ya Boxer 150cc au TVS 150cc

Joined
Aug 8, 2017
Posts
72
Reaction score
84
Habari wanajukwaa, Naomba Kusaidiwa Bei ya Pikipiki aina ya BOXER au TVS kwa Bei ya dukani hasa kwa Agents wao...
Nilitaka kuingia Kariakoo nikaambiwa huwa Wanachakachua Engine nikinunua itanisumbua ni bora Niende kwa Agents...

Ushauri na Maelezo Tafadhali naomba msaada...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom