Naomba kujua bei ya Alternator na bei ya Battery

Naomba kujua bei ya Alternator na bei ya Battery

James88

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2017
Posts
1,700
Reaction score
1,761
-Alternator ya Harrier new model yenye engine 2AZ
-Battery ya gari 12V N50

Nahitaji bei ya hivyo vitu vikiwa vipya na vikiwa used

Natanguliza shukrani.
 
Nahisi gari yako inatatizo kama langu,yaan wakati mwingine unawasha gari inagoma kabisa,sijui nini shida,
Mafundi wakaniambia labda stata nikabadilisha ikakaa sawa ila kuna siku moja(baada ya kubadili)ilisumbua tena,ikaja kukubali tuu yenyewe hadi sasaiv haisumbui(ni kama mwezi sasa tangu nibadili).,Nasikilizia kama itasumbua tena nijue cha kufanya
 
Mkuu battery N50 unataka Used????hapo sikushauri kwa hilo
Ni bora ununue bttry mpya
Altenater sio lazma upate ya harrier cha msingi iwe volt12 tu
Nakushauri
Ukisema unataka ya harrier bei itapanda
Alternator ni ile ile tu muhim iwe volt 12 isipokuwa tofaut zake zinakuja pale jinsi invokaa kwenye siti yake
Huo utofaut ukimpata fundi mzuri anamodify tu hio siti ya otoneta na belt yake inakaa poa tu
Muhim izungushe feni ili ichaj betri[emoji1321]
 
Ok asante, basi naomba kujua bei ya hiyo alternator mpya volti 12 pamoja na battery mpya volti 12 N50

Mkuu battery N50 unataka Used????hapo sikushauri kwa hilo
Ni bora ununue bttry mpya
Altenater sio lazma upate ya harrier cha msingi iwe volt12 tu
Nakushauri
Ukisema unataka ya harrier bei itapanda
Alternator ni ile ile tu muhim iwe volt 12 isipokuwa tofaut zake zinakuja pale jinsi invokaa kwenye siti yake
Huo utofaut ukimpata fundi mzuri anamodify tu hio siti ya otoneta na belt yake inakaa poa tu
Muhim izungushe feni ili ichaj betri
emoji1321.png
 
Back
Top Bottom