mkali kwanza
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 1,301
- 1,187
Inategemea na ukubwa na aina pia! Lkn kwa za mtumba saiz ya kati...sio ndogo wala sio kuuubwa unaweza pata kwa laki 6 hv!Habari wana JF,
Naombeni msaada kwa mwenye kujua bei za DEEP FREEZER, used au mpya bei zake zikoje?
Nitashukuru kama nitapewa mrejesho(feedback)
Asante
asante sana mkuuInategemea na ukubwa na aina pia! Lkn kwa za mtumba saiz ya kati...sio ndogo wala sio kuuubwa unaweza pata kwa laki 6 hv!
Poaasante sana mkuu
Mi nilinunua mwaka jana 450k jipyaa dukani kkoo, Boss zaid ya kati...ni shiiiiidah,linapiga kazi balaaHabari wana JF,
Naombeni msaada kwa mwenye kujua bei za DEEP FREEZER, used au mpya bei zake zikoje?
Nitashukuru kama nitapewa mrejesho(feedback)
Asante
aina gani mkuuMi nilinunua mwaka jana 450k jipyaa dukani kkoo, Boss zaid ya kati...ni shiiiiidah,linapiga kazi balaa
Bossaina gani mkuu