Naomba kujua bei ya frameless glass doors

Naomba kujua bei ya frameless glass doors

Nafaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
12,154
Reaction score
31,246
Wakuu nilikuwa naomba kujua gharama za frameless glass doors kwa sqm.
Mfano wake hizi za bafuni
images (20).jpeg
 
Hivi hii inakuwa observed moja Kwa moja tokea kwenye kitanda au inakuwa part ya self? daah kama unamkubali mama watoto inabidi ikae wazi tu yaani unamchorea Kwa mbali tokea kwa bed akiwa anaoga
Kuna ambazo zinakuwa ndani ya sehemu ya bafu na choo so hiyo inatenganisha sehemu lilipo sinki la choo na sehemu ya shower,

Pia kama iko chumbani hizo glass unaweza weka zile zinakuwa na ukungu hovyo huoni ndani
 
Wakuu nilikuwa naomba kujua gharama za frameless glass doors kwa sqm.
Mfano wake hizi za bafuni
View attachment 2438982
Mkuu Kwa SQM utaumia labda tu iwe kazi ya office,
Fundi achukue vipimo ambavyo ni width na height then vipelekwe kuchomwa(10mm or 12mm glass) apige hesabu ya accessories zake hizo Pivot, center Lock, na hzo Top patch na Bottom patch bila kusahau Hinges
Mwishoni upewe labour charges

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Kwa SQM utaumia labda tu iwe kazi ya office,
Fundi achukue vipimo ambavyo ni width na height then vipelekwe kuchomwa(10mm or 12mm glass) apige hesabu ya accessories zake hizo Pivot, center Lock,na hzo Top patch na Bottom patch bila kusahau Hinges
Mwishoni upewe labour charges

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mkuu kumbe hivi ni 10 au 12 mm sasa nmeelewa kwanini vinatofautiana na vile 4mm na 5mm vinavyotumika kwenye aluminium windows.

Kuchoma ndio kunakuwaje mkuu.

Je unajua sheet ya hivi vioo ni bei gani mkuu.

Kwa sababu nina uzoefu na aluminium doors and windows, hii ndio huwa formulà nayotumia nanunua materials nalipia labor charge
 
Mkuu Kwa SQM utaumia labda tu iwe kazi ya office,
Fundi achukue vipimo ambavyo ni width na height then vipelekwe kuchomwa(10mm or 12mm glass) apige hesabu ya accessories zake hizo Pivot, center Lock,na hzo Top patch na Bottom patch bila kusahau Hinges
Mwishoni upewe labour charges

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Nimejifunza kitu...
Ila ungetupatia average prices kwa uzoefu wako

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kuna ambazo zinakuwa ndani ya sehemu ya bafu na choo so hyo inatenganisha sehemu lilipo sinki la choo na sehemu ya shower,
Pia kama iko chumbani hizo glass unaweza weka zile zinakuwa na ukungu hovyo huoni ndan
Naam umejibu vizuri.
Hii inagawa choo na bafu.
Lakini mlango wa kuingia chooni na bafuni unaweza kuwa wa mbao au Rose...glass mbayo huwezi kuona ndani
 
Kuchomwa Iko mara mbili

Kuna kubandanisha vioo 5mm viwili kupata 10mm km utaamua hvyo, na kuchomwa kuwa laminated kama(ulishaona milango imeandikwa jina mfano.cbe, Rotana hotel nk)

Na pia kuchomwa Ili kuondoa Ile sharpness baada ya kioo kukatwa
Na pia kinachomwa Ili kuweka uimara Ili kukipa uimara kumbuka ni "Frameless" bila kufanya hvyo kioo lazma kimwagike na laminated Ili kikigongwa kisimwagike

Sababu ni zile zile

Lakini pia unaweza kutengeneza shower Kwa kutumia profile na bado kukawa na muonekano mzuri.
Kusema u-estimate bei Mzee narudia tena utapigwa za uso mpaka ujutie.
Point ni, kupata vipimo then hesabu ifanywe.

IMG-20221208-WA0003.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Cc Nafaka HIMARS
 
Na hizo upate fundi anayejua kuvifunga vizuri kwa vipimo sahihi. Ukimpa hiyo kazi fundi Maiko hicho kioo kinaweza kumwagika na kumuumiza mtu au kumuua mtu. Kilinikosakosa pale hotel ya Sunrise Kigamboni. Shida ilikuwa ni vipimo katika ufungaji
 
Duh nimewaza ndio umeingia na mchepuko mambo ya kupiga mchana jioni unarudi home halafu unakatwa na kioo hoteli
 
Back
Top Bottom