Naomba kujua bei ya gunia la viazi vitamu kwa Dar es Salaam

Naomba kujua bei ya gunia la viazi vitamu kwa Dar es Salaam

Mb-one

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
883
Reaction score
1,291
Wakuu habari
Kwanza poleeni kwa mahangaiko ya juma lililopita na MUNGU awapatie nguvu kwenye juma hili jipya.

Naomba kujua bei ya viazi vitamu kwa gunia, bei ya kununulia kwa dsm na pia bei ya kuuzia viwandani hasa viwanda vya biscuits
Natanguliza shukrani
 
Mkuu uliza pia Arusha si unatafuta soko hapa tunanunua reja reja plastic moja 20,000 tsh na vingi vinatoka kenya...
 
Mkuu uliza pia Arusha si unatafuta soko hapa tunanunua reja reja plastic moja 20,000 tsh na vingi vinatoka kenya...
shukrani mkuu
platic hyo huwa na roughly uzito kiasi gani??
 
shukrani mkuu
platic hyo huwa na roughly uzito kiasi gani??
mimi sijawahi ipima si unajua mara ingine huwa wanazipunguza kile ki sado kama cha pombe za kienyeji ni 4500 mpaka 5000 reja reja...maharage ya mbeya yale ya njano jumla ni 45,000tsh ivyo vitu unauza soko la kilombero huko kama mzigo upo mwingi..
 
Wakuu ni viazi gani hivyo vinavyo tumika kutengeneza biskuti?
 
Back
Top Bottom