mimi sijawahi ipima si unajua mara ingine huwa wanazipunguza kile ki sado kama cha pombe za kienyeji ni 4500 mpaka 5000 reja reja...maharage ya mbeya yale ya njano jumla ni 45,000tsh ivyo vitu unauza soko la kilombero huko kama mzigo upo mwingi..shukrani mkuu
platic hyo huwa na roughly uzito kiasi gani??
viaz vitamu wengine wanaita mbatata ss mbeya tunaviita madulee[emoji3] [emoji3]Wakuu ni viazi gani hivyo vinavyo tumika kutengeneza biskuti?