Naomba kujua bei ya mashine ya kujaza upepo wa tairi za magari na pikipiki

Naomba kujua bei ya mashine ya kujaza upepo wa tairi za magari na pikipiki

Al-shabaab

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
1,791
Reaction score
619
Habari wanaJf
Nahitaji kujua bei ya mashine ya kujazia upepo WA tairi za magari na pikipiki kwa mashine new na used PIA.
 
Back
Top Bottom