Naomba kujua bei ya mchanga, kifusi na kokoto

rithalisa

Member
Joined
Jul 6, 2023
Posts
6
Reaction score
0
Habari,

Jamani mnisaidie kitu kwa Wakazi wa hapa Dar es Salaam, anayejua bei ya Mchanga, Kifusi na Kokoto kwa bei ya fuso na canter ili nikienda kuagiza nisiwe mgeni wa hili

Si unajua ukienda kichwa kichwa maana wananiambia kuna fuso na canter na kila gari lina bei yake
 
Cubic meter moja ya kokoto (zile nyeusi) ni 110,000/=, na zile nyeupe sijui nyekundu ni 50,000/= kwa cubic meter moja, mchanga gari la cubic meter 15 ni Tsh 230,000/=
Sijajua kwa sasa kama imepanda au imeshuka
 
Nashkuru
 
Kwangu nilinunua zile nyeupe debe 1000/=bei hiyo unaniletea mpaka site.Na huu mchongo aliucheza fundi wangu Mimi kazi yangu nahesabu debe zako unavyoleta nakukeshi jicho Kwa jicho.Kama alikula kamisheni alijua mwenyewe namna ya kufanya.
 
Okay, ila wanasema kama unakazi inayohitaj mchanga mwingi ni bora kuagiza gari kwa debe ni hasara
 
Hizo ni kokoto sio mchanga Mkuu.Mchanga agiza Faw au Scania yako Moja au Mbili bei ilikuwa 280000/= Sasa Kwa mafuta yanavyopanda hovyo inaweza gusa 300000/= ila ni mwingi sana Huo mchanga.
 
Ahaa sawa sawa nitafuatilia hilo fau litanifaa nadhani
 
Hizo ni kokoto sio mchanga Mkuu.Mchanga agiza Faw au Scania yako Moja au Mbili bei ilikuwa 280000/= Sasa Kwa mafuta yanavyopanda hovyo inaweza gusa 300000/= ila ni mwingi sana Huo mchanga.
Shukran
 
Back
Top Bottom