NashkuruCubic meter moja ya kokoto (zile nyeusi) ni 110,000/=, na zile nyeupe sijui nyekundu ni 50,000/= kwa cubic meter moja, mchanga gari la cubic meter 15 ni Tsh 230,000/=
Sijajua kwa sasa kama imepanda au imeshuka
Kwangu nilinunua zile nyeupe debe 1000/=bei hiyo unaniletea mpaka site.Na huu mchongo aliucheza fundi wangu Mimi kazi yangu nahesabu debe zako unavyoleta nakukeshi jicho Kwa jicho.Kama alikula kamisheni alijua mwenyewe namna ya kufanya.Cubic meter moja ya kokoto (zile nyeusi) ni 110,000/=, na zile nyeupe sijui nyekundu ni 50,000/= kwa cubic meter moja, mchanga gari la cubic meter 15 ni Tsh 230,000/=
Sijajua kwa sasa kama imepanda au imeshuka
Okay, ila wanasema kama unakazi inayohitaj mchanga mwingi ni bora kuagiza gari kwa debe ni hasaraKwangu nilinunua zile nyeupe debe 1000/=bei hiyo unaniletea mpaka site.Na huu mchongo aliucheza fundi wangu Mimi kazi yangu nahesabu debe zako unavyoleta nakukeshi jicho Kwa jicho.Kama alikula kamisheni alijua mwenyewe namna ya kufanya.
Hizo ni kokoto sio mchanga Mkuu.Mchanga agiza Faw au Scania yako Moja au Mbili bei ilikuwa 280000/= Sasa Kwa mafuta yanavyopanda hovyo inaweza gusa 300000/= ila ni mwingi sana Huo mchanga.Okay, ila wanasema kama unakazi inayohitaj mchanga mwingi ni bora kuagiza gari kwa debe ni hasara
Ahaa sawa sawa nitafuatilia hilo fau litanifaa nadhaniHizo ni kokoto sio mchanga Mkuu.Mchanga agiza Faw au Scania yako Moja au Mbili bei ilikuwa 280000/= Sasa Kwa mafuta yanavyopanda hovyo inaweza gusa 300000/= ila ni mwingi sana Huo mchanga.
ShukranHizo ni kokoto sio mchanga Mkuu.Mchanga agiza Faw au Scania yako Moja au Mbili bei ilikuwa 280000/= Sasa Kwa mafuta yanavyopanda hovyo inaweza gusa 300000/= ila ni mwingi sana Huo mchanga.