Naomba kujua bei ya Pikipiki aina ya Boxer au TVS 150cc

Joined
Aug 8, 2017
Posts
72
Reaction score
84
Habari wanajukwaa, Naomba Kusaidiwa Bei ya Pikipiki aina ya BOXER au TVS kwa Bei ya dukani hasa kwa Agents wao.

Nilitaka kuingia Kariakoo nikaambiwa huwa Wanachakachua Engine nikinunua itanisumbua ni bora Niende kwa Agents...

Ushauri na Maelezo Tafadhali naomba msaada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boxer bm 150 kwa dodoma ni 2.4 mil pamoja na usjili,nimenunua Jana so kwa dar I hope itakua cheap kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…