Naomba kujua bei ya Tiles

Naomba kujua bei ya Tiles

Joined
Sep 24, 2014
Posts
54
Reaction score
34
Wanajamvi napenda kujua bei ya Tiles
Twyford au Goodwill kwa dar es salaam
40×40
25×40
Na skating tiles
 
Spain au India ziko vizuri, Ila nasikia pale chalinze ukitaka quality nzuri pia wanakutengenezea
 
JF ni kisima cha maarifa. Ukiomba mwongozo,ushauri au hata maulizo utapewa stahiki yako. Lakini kama ilivyokawaida kwenye wengi pana mengi pia. Utakutana na ushauri au majibu ya hovyo. Yakupasa kuwa mvumilivu. Chukua cha kukufaa. Takataka nyingine achana nazo.
 
Back
Top Bottom