NAOMBA KUJUA BEI YA TOYOTA RAV 4 YA MWAKAa 1995

AMARIDONG

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2010
Posts
2,501
Reaction score
185
NATAFUTA RAV 4 YA MWAKA 1995 AMBAYO HAIJATUMIKA HAPA NCHINI KABISa,NAOMBA MNIJUZE BEI YAKE
 
Ila kaka naomba kuuliza what is so special about 1995 nilitegemea ungEsema tuu "RAV 4 OLD MODEL"
 
Enh aisee. Ni around dola 1600. Lakini kodi na uplifting bado hapo yaani hiyo ni FOB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…