Naomba kujua Bei za Ram

Naomba kujua Bei za Ram

Hakuna ram za dell zipo ddr3, ddr3, ddr4 etc. Ni dell gani? Eka full model uangaliziwe. Na mtaani ram za ukubwa huo ni kama 15,000 ama 20,000 hivi.
 
ni Dell latitude d800
 
ni Dell latitude d800
Mkuu ni ya zamani sana hata ukiongeza ram sidhani.kama itasaidia sana, inakuja na ram 256mb na unaweza ukaongeza hadi 2gb max.

Ram zake ni ddr sdram za kizamani pia kuzipata ni shughuli, ila unaweza jaribu maeneo kama machinga complex wanaweza kuwa nayo.
 
. Asante..🙏🙏🙏
 
ni Dell latitude d800 [emoji120][emoji120]
Uje nikuuuzie DDR1 1GB kw TZS 20000/=
0773039477 MAKUMBUSHO BUS STAND

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3g modem multi sim card for 15,000tshs
Nipo dar es Salaam
 
Back
Top Bottom