Naomba kujua benki zinazotoa mikopo kwa riba nafuu

MD Necha

Member
Joined
Jan 19, 2017
Posts
6
Reaction score
3
Wakuu.mm ni driver Na pia ni mjasiriamali naanda kampuni yangu ya food processing soon itakuwa released naomba kuunga mkono juhudi za vijana wa Tanzania ili nchi ya viwanda iweze kusaidia maendeleo ya taifa letu

Tayar nina mashine ya kusaga nafaka, peanut butter, juicer bado taratibu za usajili wa kampuni pamoja na kupanga management nzima naomba msaada juu ya mabenk, saccos ambazo zinatoa mikopo kwa riba nafuu
 
Mkuu nakutia moyo.🙂
 
Mpaka hapo mkuu umetumia kama shillingi ngapi hivi
 
Mpaka hapo mkuu umetumia kama shillingi ngapi hivi
Mm ni dereva kama nilivyo sema nilicho fanya mm ni kutafuta Fundi wanaotengeneza mashene nikatafuta materials mwenyewe ili Ku minimize cost
 
Wazo zuri lkn mabenk kwa sasa hata huo mkopo wa riba kubwa wanatoa?
 
Hongera sana kwa kupambana mkuu,Kwanza unafikiria kuchukua mkopo kama wa kiasi gani hivi mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…