Naomba kujua Billing Zip Code ya Tanzania

Naomba kujua Billing Zip Code ya Tanzania

Royal Son

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2016
Posts
909
Reaction score
1,717
Habari wakubwa

Naomba kujua Billing zip code ya Tanzania nataka kufanya manunuzi Online sasa wanataka hiyo nimejaribu 00000 imekataa, nimejaribu pia 23100 imekataa.

Wakuu msaada.
 
nimekutumia link ya postcode list hapo juu,weka mkoa unaotaka utazipata.Au pia ni kazi kubwa kufanya hivyo ??
Browser za simu yangu zinegoma kufungua kaka
 
Browser za simu yangu zinegoma kufungua kaka
Umeulizwa hapo juu utaje mahali ulipo,ni Arusha sehemu gani,au uko karibu na sehemu gani ambapo huo mzigo wako ukifika unaweza kuupata kirahisi...?
 
Browser za simu yangu zinegoma kufungua kaka
kuna drop down menu hapo mwisho unaweka sehemu unayoishi kisha unaangalia zip code yake na wala sio lazima udownload pdf yote. Kisha kuna mdau pia kakuuliza sehemu unayoishi naye anaweza kukusaidia kuangalia zip code.
 
nimejaribu imegoma naona kama simu yangu ina shida
 
Hvi wadau kwani zip code ni sawasawa na postcode?
 
wakubwa nimejaribu imekata inasema hivi
Screenshot_2019-11-08-17-03-51.jpeg
 
Back
Top Bottom