Unaishi wapi weweHabari wakubwa
Naomba kujua Billing zip code ya Tanzania nataka kufanya manunuzi Online sasa wanataka hiyo nimejaribu 00000 imekataa, nimejaribu pia 23100 imekataa.
Wakuu msaada.
nimekutumia link ya postcode list hapo juu,weka mkoa unaotaka utazipata.Au pia ni kazi kubwa kufanya hivyo ??Naish Arusha Kaka
Umeulizwa hapo juu utaje mahali ulipo,ni Arusha sehemu gani,au uko karibu na sehemu gani ambapo huo mzigo wako ukifika unaweza kuupata kirahisi...?Browser za simu yangu zinegoma kufungua kaka
kuna drop down menu hapo mwisho unaweka sehemu unayoishi kisha unaangalia zip code yake na wala sio lazima udownload pdf yote. Kisha kuna mdau pia kakuuliza sehemu unayoishi naye anaweza kukusaidia kuangalia zip code.Browser za simu yangu zinegoma kufungua kaka
nimejaribu imegoma naona kama simu yangu ina shidakuna drop down menu hapo mwisho unaweka sehemu unayoishi kisha unaangalia zip code yake na wala sio lazima udownload pdf yote. Kisha kuna mdau pia kakuuliza sehemu unayoishi naye anaweza kukusaidia kuangalia zip code.
Chukua zip code ya Arusha mzee baba usajili maisha yaendeNaishi Arusha Town mitaa ya ilboru
Mkuu hiyo nilishamtumia post ya kwanza kabisaaa,kasema simu yake haifungui PDF.Nikamuelekeza kufungua dropdown menu,nayo imeshindikana.Jiachie hapa kwenye hiyo link.http://tcra.go.tz/images/documents/postcode/arusha.pdf .....
Kwhiyo huko ilboru iko kitongoji gani...?nimejaribu imegoma naona kama simu yangu ina shida
Ni kitu kimoja nchi tofauti. Zip code ni U.S.A na post code ni U.K.Hvi wadau kwani zip code ni sawasawa na postcode?
Umeagiza kupitia kampuni gani,maana kama ni Amazon sijui kama wanaleta Tanzania...?wakubwa nimejaribu imekata inasema hiviView attachment 1257823