Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali liwe: Carina SI, itatumia lita (1) moja kwa km ngapi?carina si cc 1762 inatumia lita ngapi kwa km 1
AhsanteSwali liwe: Carina SI, itatumia lita (1) moja kwa km ngapi?
- Inategemea na safari husika
Kwa mji kama DSM waweza tumia lita moja kwa wastani wa 8 - 9km
Ila utakapokuwa kwenye masafa (kwenye Highway mf: MORO to DODOMA) waweza kutumia lita moja kwa wastani wa 11km
hiyo carina itakuwa mbovu hata voxy haili futa hivo carina high way 14 na zaid kidogo uhakikaSwali liwe: Carina SI, itatumia lita (1) moja kwa km ngapi?