Naomba kujua chanzo na dawa ya kutibu tongo tongo kwa mtoto mchanga

Naomba kujua chanzo na dawa ya kutibu tongo tongo kwa mtoto mchanga

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2018
Posts
1,199
Reaction score
1,346
Please wenye uzoefu na uelewa wa huu ugonjwa wa mtoto mchanga kutokwa na tongo tongo kila mara tena macho yote.

Chanzo chake, madhara yake na tiba yake ni IPI?

Please sana.
 
Dalili ya ugonjwa hiyo, nenda hospital
 
Back
Top Bottom