Naomba kujua Chuo cha Afya chenye bei ya chini

Naomba kujua Chuo cha Afya chenye bei ya chini

Am mackdy

Member
Joined
May 9, 2020
Posts
30
Reaction score
5
Jamani naomba kujua Chuo cha Afya kingine chenye bei ya chini kama Muhimbili kwa level ya Diploma, tofauti ya hicho Muhimbili
 
Ni vyuo vya nacte kama mtwara,Lindi,kibaha,lugalo n.k japo navyo vinatofautiana kidogo sana ila cha chini kabisa ni 1,150,400
 
Kwa private kuna Kigamboni city college ambapo jumla ya ada ni 2.4M.... Ila kwa government kuna hivi vya COTC bei rahisi 1.1Milioni lakini shida ni moja tu kuvipata
 
Ada inatofautiana na michango mengine kwa mfano chuo fulani ada ni 1.2m ila mpka na michango mingin inafikka mpka 2m
 
Back
Top Bottom