Naomba kujua chuo kinachotoa kozi za Health and Safety Management

Diwani

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2014
Posts
2,680
Reaction score
2,779
Wapendwa wana jukwaa, bila shaka mu wazima.

Naomba kufahamishwa ni chuo gani hapa Tanzania kinatoa kozi za Health and Safety Management?
 
Hiyo kozi sijawahi kuisikia aisee miongoni mwa kozi za Afya
 
Nebosh wana gharama gani?? But nimeambiwa huku kwetu kuna short courses [emoji25]
Soma online Nebosh
Na zile za OSHA za week mbili mbili na siku 4 na za siku 3
 
Nebosh wana gharama gani?? But nimeambiwa huku kwetu kuna short courses [emoji25]
Nebosh Tizama kwenye google it's there na it's recognized all over the world, Ila mtihani wake ni mgumu Sana. Ni vizuri uingie darasani Ila ukisoma online Unafanya mtihani Unakuja sealed mbele ya msimamizi Wao then unasainiwa nje Ndio upate Cheti.osha Ndio wanashot courses google website yao utaona calendar Ila course zao hazitambuliki duniani ni hapa Tz
 
I planned nikaende pale Osha kuulizia na kuna mtu kanimabia keshasoma kwa 1.4 M kumbe ni globally unrecognized [emoji25][emoji25]

Kila

[/QUOTE
OSHA ni ya Tanzania ni mamlaka ya afya na usalama Tanzania. Ukitaka uwe on top of things Soma Nebosh. Ila ukisoma OSHA watu wengi sasa hivi wanabanwa wawe Na usalama kazini kwa hiyo itakuwa marketable kwenye viwanda vidogo vidogo.
 
Back
Top Bottom