Naomba kujua chuo kinachotoa kozi za Health and Safety Management

Diwani

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2014
Posts
2,680
Reaction score
2,779
Wapendwa wana jukwaa, bila shaka mu wazima.

Naomba kufahamishwa ni chuo gani hapa Tanzania kinatoa kozi za Health and Safety Management?
 
Hiyo kozi sijawahi kuisikia aisee miongoni mwa kozi za Afya
 
Nebosh wana gharama gani?? But nimeambiwa huku kwetu kuna short courses [emoji25]
Soma online Nebosh
Na zile za OSHA za week mbili mbili na siku 4 na za siku 3
 
Nebosh wana gharama gani?? But nimeambiwa huku kwetu kuna short courses [emoji25]
Nebosh Tizama kwenye google it's there na it's recognized all over the world, Ila mtihani wake ni mgumu Sana. Ni vizuri uingie darasani Ila ukisoma online Unafanya mtihani Unakuja sealed mbele ya msimamizi Wao then unasainiwa nje Ndio upate Cheti.osha Ndio wanashot courses google website yao utaona calendar Ila course zao hazitambuliki duniani ni hapa Tz
 
I planned nikaende pale Osha kuulizia na kuna mtu kanimabia keshasoma kwa 1.4 M kumbe ni globally unrecognized [emoji25][emoji25]
 
Kila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…